AWARDS PRESENTING CEREMONY FOR THE DSE SCHOLAR INVESTMENT CHALLENGE 2014

0Afisa mtendaji mkuu wa Dar es Salaam Stock Exchange akiongea na wanafunzi walioshiriki katika shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” wakati wa hafla ya kuwatambua wanafunzi hamsini bora na uandaaji wa mchakato wa kutafuta washindi watatu bora wa shindano hilo.
Katikati ni bwana George Kivaria  mwakilishi benki ya NMB (wadhamini wa mashindano) kushoto ni Sosthenes Kewe  Mkurugenzi wa taasisi ya uendelezaji wa huduma za fedha.

Baadhi ya wanafunzi hamsini bora wakikabidhiwa vyeti vyao na wageni rasmi, wa kwanza kotoka kushoto ni George Kivaria mkuu wa kitengo cha huduma mbadala Benki ya NMB, wapili Sosthenes 
Kewe Mtendaji mkuu taasisi ya uendelezaji wa huduma za fedha.
Wanafunzi wa vyuoni wakijiandaa kujibu maswali (kuhojiwa) katika mchakato wa kumtafuta mshindi wa shindano la uzekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014”


Majaji wakifatilia majibu ya wanafunzi jinsi namna walivyofanya maamuzi ya uwekezaji katika shindano la uwekezakaji “DSE Scholar Investment Challenge”

wadau wa soko wa soko la hisa la Dar es Salam “Dar es Salaam Stock Exchange” wakifuatilia mchakato wa kutafuta washindi watatu bora.

Mshindi wakwanza wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” Laurent Dyanko kutoka chou kikuu cha kilimo, Sokoine University of Agriculture (SUA) akikabidhiwa zawadi wa shilingi milioni moja na cheti cha ushindi.

Laurent Dyanko aliweza kutumia mtaji wa milioni moja (mtaji aliogewa baada ya kujisajili katika mashindano) na kuwekeza Soko la hisa la Dar es Salaam na kuweza kuuongeza thamani kufikia takribani shilingi milioni nne na laki moja ndani ya mienzi minne.

Mshindi wapili wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” George Firimini kutoka chuo cha usimaniza wa fedha, Institute of Finance Management (IFM) akikabidhiwa zawadi wa shilingi laki sita na cheti cha ushindi

 Mshindi watatu wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” Godlove Kellya kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam akikabidhiwa zawadi ya shilingi laki nne na cheti cha ushindi


Mshindi watatu wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” Godlove Kellya kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam akikabidhiwa zawadi ya shilingi laki nne na cheti cha ushindi

0 comments: