Mtaji endelevu ni suluhisho la financial stress kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wote pia kukuza mtaji wa biashara. Fursa kama hizi si za kutozitilia maanani kwani ni fursa za kimaendeleo. pia ni ya faida kubwa kwa wawekezaji wote.
ni kweli patricia. DSE inatakiwa iongeze juhudi katka kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na DSE ili watanzania wengi waweze kuitumia katika kukuza mitaji yao.
To provide a responsive securities exchange that promotes economic empowerment and contributes to the country's economic development through offering a range of attractive and cost-effective products and services.
Mtaji endelevu ni suluhisho la financial stress kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wote pia kukuza mtaji wa biashara. Fursa kama hizi si za kutozitilia maanani kwani ni fursa za kimaendeleo. pia ni ya faida kubwa kwa wawekezaji wote.
ReplyDeleteni kweli patricia. DSE inatakiwa iongeze juhudi katka kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na DSE ili watanzania wengi waweze kuitumia katika kukuza mitaji yao.
ReplyDelete