Shirika la Nyumba la Taifa na Soko la Hisa la Dar es Salaam watiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana
saini makubaliano
rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa
Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye
huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha
Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii)
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa, mara baada ya
kusaini makubaliano ambapo DSE itanunua ofisi katika jengo la Morocco Square
litakalojengwa na shirika hilo eneo la Kinondoni jijini. Mkataba huo ulisainiwa
jijini leo.
Baadhi
ya wageni waalikwa waliofika kushuhudua NHC na DSE wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la
ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es
Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea
Baadhi
ya wageni waalikwa waliofika kushuhudua NHC na DSE wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la
ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es
Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea.
Watendaji
wa NHC na DSE wakibadilishana mawazo wakati wa utiaji saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi
katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea.
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa
Tuntufye Mwambusi na Meneja wa Uendelezaji Biashara wa NHC, Willia Genya
wakibadiliashana mawazo katika hafla hiyo.
Mchechu akibadilishana mawazo na watendaji wa DSE wakati wa utiaji saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea.
Mkurugenzi wa Hazina na
Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa, David Misonge Shambwe
akiwakaribisha wageni katika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa
Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakifuatilia jambo katika hafla hiyo ya
utiaji saini.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akizungumza katika hafla hiyo.
Watendaji wa DSE wakibadilishana mawazo wakati wa utiaji saini makubaliano
rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa
Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye
huduma mbalimbali za kisasa unaendelea.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es
Salaam (DSE), Moremi Marwa akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu
(kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la
Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa, mara baada ya kusaini makubaliano
ambapo DSE itanunua ofisi katika jengo la Morocco Square litakalojengwa na
shirika hilo eneo la Kinondoni jijini. Mkataba huo ulisainiwa jijini leo.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu
(kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la
Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa, mara baada ya kusaini makubaliano
ambapo DSE itanunua ofisi katika jengo la Morocco Square litakalojengwa na
shirika hilo eneo la Kinondoni jijini. Mkataba huo ulisainiwa jijini leo.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa, mara baada ya
kusaini makubaliano ambapo DSE itanunua ofisi katika jengo la Morocco Square
litakalojengwa na shirika hilo eneo la Kinondoni jijini. Mkataba huo ulisainiwa
jijini leo.
The Le_Meridian Funding Service went above and beyond their requirements to assist me with my loan which i used expand my pharmacy business,They were friendly, professional, and absolute gems to work with.I will recommend anyone looking for loan to contact. Email..lfdsloans@lemeridianfds.com Or lfdsloans@outlook.com.WhatsApp ... + 19893943740.
ReplyDelete